Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Mulk
Sura ya 67

Al-Mulk

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 30

قُلْ أَرَءَيْتُمْ إِنْ أَصْبَحَ مَآؤُكُمْ غَوْرًا فَمَن يَأْتِيكُم بِمَآءٍ مَّعِينٍۭ 30

{30} Kisha akajulisha kwamba Yeye tu ndiye mwenye neema zote, hasa maji ambayo kwayo Mwenyezi Mungu aliumba kila kiumbe kilicho uhai, akasema: "Sema: Mwaonaje, yakiwa maji yenu yamedidimia chini, ni nani atakueleteeni maji yanayomiminika," ambayo kwayo mtakunywa na kuwanywesha mifugo wenu, miti yenu na mimea yenu? Huku ni kuuliza kwenye maana ya kukanusha. Yaani, hakuna awezaye kufanya hivyo isipokuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu tu.

Imekamilika tafsiri ya surat Al-Mulk, na sifa njema ni za Mwenyezi Mungu.