Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Waaqia
Sura ya 56

Al-Waaqia

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya 7–9

وَكُنتُمْ أَزْوَٰجًا ثَلَـٰثَةً 7 فَأَصْحَـٰبُ ٱلْمَيْمَنَةِ مَآ أَصْحَـٰبُ ٱلْمَيْمَنَةِ 8 وَأَصْحَـٰبُ ٱلْمَشْـَٔمَةِ مَآ أَصْحَـٰبُ ٱلْمَشْـَٔمَةِ 9

{7 - 9} "Na nyinyi" enyi viumbe! "mtakuwa namna tatu." Yaani, mtagawanyika katika makundi matatu kulingana na matendo yenu mema na mabaya. Kisha akabainisha kwa undani hali za namna tatu hizo, akasema: "Basi watakuwepo wa kuliani; je, ni wepi wa kuliani?" Hii ni kuonyesha hadhi yao kubwa na kuonyesha ukubwa wa hali yao. "Na wa kushotoni; je, ni wepi wa kushotoni?" Na hili ni la kuonyesha hali yao ya kutisha mno.