Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · At-Tur
Sura ya 52

At-Tur

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 34

فَلْيَأْتُوا۟ بِحَدِيثٍ مِّثْلِهِۦٓ إِن كَانُوا۟ صَـٰدِقِينَ 34

{34} "Basi na walete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli." Kwani nyinyi ni Waarabu fasaha na mafahali walio bora wa usemi. Na amekupeni changamoto mlete kitu mfano wake, ili usadikike upinzani wenu au mkiri ukweli wake. Nanyi hakika hata kama mkijikusanya nyinyi wanadamu na majini; hamtaweza kuipinga na kuleta mfano wa Qur-ani hii. Basi hapo mko baina ya mambo mawili: ima muiamini na mfwate uwongofu wake, au mkaidi na muwe mnafuata yale mliyokwisha jua kwamba ni batili.