Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · At-Tur
Sura ya 52

At-Tur

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 10

وَتَسِيرُ ٱلْجِبَالُ سَيْرًا 10

{10} "Na milima iwe inakwenda kwa mwendo mkubwa." Yaani, itatoka mahali pake, na zitakwenda mwendo wa mawingu, na watakuwa na rangi kama ya sufu zilizochambuliwa, kisha baadaye zitatupwa na kusambaa hadi ziwe kama chembechembe ndogo za vumbi, na hayo yote ni kutokana na ukubwa wa balaa ya Siku ya Kiyama [na ubaya mkubwa wa mambo yaliyo ndani yake ya kutisha na mitetemeko itakayosumbua miili hii mikubwa] basi itakuwaje kuhusu mwanadamu dhaifu?