Al-Ghaafir
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
وَقَالَ رَبُّكُمُ ٱدْعُونِىٓ أَسْتَجِبْ لَكُمْ ۚ إِنَّ ٱلَّذِينَ يَسْتَكْبِرُونَ عَنْ عِبَادَتِى سَيَدْخُلُونَ جَهَنَّمَ دَاخِرِينَ 60
{60} Haya ni katika upole wake kwa waja wake na neema yake kubwa. Ambapo aliwalingania katika yale ambayo yatawafaa katika dini yao na dunia yao, na akawaamrisha wamuombe dua ya ibada na dua ya kuomba haja zao mbalimbali, na akawaahidi kuwa atawaitikia, na akawaahidi adhabu wale wanaotakabari wakaacha kufanya hivyo. Akasema: "Kwa hakika wale ambao wanajivuna wakaacha kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike." Itakusanywa adhabu juu yao pamoja na kudunishwa yawe malipo ya kutakabari kwao.