Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · An-Naml
Sura ya 27

An-Naml

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 76

إِنَّ هَـٰذَا ٱلْقُرْءَانَ يَقُصُّ عَلَىٰ بَنِىٓ إِسْرَٰٓءِيلَ أَكْثَرَ ٱلَّذِى هُمْ فِيهِ يَخْتَلِفُونَ 76

{76} Hii ni habari kuhusu utawala wa Qur-ani juu ya vitabu vilivyotangulia na kueleza kwake kwa kina na kufafanua kwake yale yaliyokuwa ndani yake, katika yale ambayo yaliingiliwa na mchanganyiko na kutofautiana juu yake kwa Banu Israil. Kwa hivyo Qur-ani hii iliyasimulia kwa simulizi ambayo kwayo liliondoa tatizo hilo na ikafafanua kilicho sahihi katika masuala ambayo kulikuwa na utofauti ndani yake.