Taa-Haa
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
كَىْ نُسَبِّحَكَ كَثِيرًا 33 وَنَذْكُرَكَ كَثِيرًا 34
{33-34} Kisha akataja faida katika hilo, akasema, "Ili tukutakase kwa wingi. Na tukutaje kwa wingi." Yeye Musa, rehema na amani ziwe juu yake, alijua kwamba ibada zote na dini, hayo yote yanazungukia kwenye suala la kumtaja Mwenyezi Mungu, kwa hivyo akamuomba Mwenyezi Mungu amfanye kaka yake awe pamoja naye ili wasaidiane katika kufanya wema na uchamungu, kwa kumtaja Mwenyezi Mungu kwa wingi kama vile kumtakasa, na kusema hakuna mungu isipokuwa Mwenyezi Mungu tu, na aina nyinginezo za ibada.