Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Taa-Haa
Sura ya 20

Taa-Haa

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 116

وَإِذْ قُلْنَا لِلْمَلَـٰٓئِكَةِ ٱسْجُدُوا۟ لِـَٔادَمَ فَسَجَدُوٓا۟ إِلَّآ إِبْلِيسَ أَبَىٰ 116

Kisha akaelezea kwa undani kile kilichomfanya yeye bora zaidi, na akasema:

{116} Yaani, alipokamilisha kumuumba Adam kwa mkono Wake, akamfundisha majina, akamfadhilisha, na akamtukuza; akawaamrisha Malaika wamsujudie kwa utukufu, na heshima na utiifu, wakafanya haraka kusujudu kwa utiifu. Na Shetani alikuwa miongoni mwao, na akajivuna kuasi amri ya Mola wake Mlezi, na akakataa kumsujudia Adam. Akasema: ''Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, na umemuumba kwa udongo."