Yusuf
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
قَالُوا۟ وَأَقْبَلُوا۟ عَلَيْهِم مَّاذَا تَفْقِدُونَ 71
{71} "Wakasema"; yaani, Ndugu zake Yusuf, “huku wamegeuka kuwaelekea" ili kuondoa tuhuma yoyote. Kwa maana, mwizi huwa hana hima kubwa zaidi isipokuwa kuondoka na kwenda mbali na yule aliyemuibia, ili kile alichoiba kiwe salama naye. Nao hawa walikuja huku wamewaelekea, na hawakuwa na hima yoyote isipokuwa kujiondolea tuhuma hiyo ambayo walitupiwa. Kwa hivyo wakasema katika hali hii: "Kwani mmepoteza nini?” Na hawakusema: Ni nini tumeiba? Kwa sababu ya uhakika wao kwamba hawana hatia yoyote ya wizi.