Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Ikhlaas
Sura ya 112

Al-Ikhlaas

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 2

ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ 2

{2} "Mwenyezi Mungu Mkusudiwa" katika mahitaji yote. Wakazi wa ulimwengu wa juu na wa chini wanamuhitaji sana Yeye. Wanamwomba mahitaji yao na kumkimbilia katika mambo yao. Kwa sababu Yeye ndiye Mkamilifu katika sifa zake, ajuaye zaidi ambaye ni mkamilifu katika elimu yake, Mvumilivu zaidi ambaye [amekamilika] katika ustahimilivu wake, Mwingi wa kurehemu ambaye ni mkamilifu katika rehema yake, ambaye rehema yake imekienea kila kitu... na vivyo hivyo katika sifa zake zote.