Langkau ke kandungan
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Hadid
Surah 57

Al-Hadid

Ini ialah terjemahan Tafsir as-Saʿdī seperti yang diterbitkan oleh IslamHouse.com di saadi.islamenc.com, dibaca daripada halaman-halaman laman itu. Laman itu tidak menyatakan siapa yang menterjemahkannya atau edisi cetakan mana yang diikutinya, dan tidak menyatakan syarat untuk mengambil teksnya, maka hak untuk memaparkannya belum disahkan. Belum ada sesiapa yang membandingkannya dengan buku bercetak, dan tiada ulama yang menyemaknya. Setiap bahagian berada di sisi ayat-ayat yang diulasnya, iaitu teks Al-Quran daripada Tanzil, dipaparkan seperti yang ada di sana; ayat yang tidak diberi ulasan tersendiri oleh laman itu berada bersama bahagian sebelumnya, dan indeks menamakan setiap ayat sedemikian. Sabīl tidak menulis atau menterjemahkan satu pun daripadanya.

Teks daripadasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)diambil pada 2026-10-22

Ayat 26

وَلَقَدْ أَرْسَلْنَا نُوحًا وَإِبْرَٰهِيمَ وَجَعَلْنَا فِى ذُرِّيَّتِهِمَا ٱلنُّبُوَّةَ وَٱلْكِتَـٰبَ ۖ فَمِنْهُم مُّهْتَدٍ ۖ وَكَثِيرٌ مِّنْهُمْ فَـٰسِقُونَ 26

{26} Na alipotaja unabii wa manabii kwa ujumla wake, akawataja Manabii wawili maalumu watukufu, Nuhu na Ibrahim, ambao Mwenyezi Mungu aliwaweka Unabii na Kitabu katika dhuria zao. "Na bila ya shaka tulimtuma Nuhu na Ibrahim, na tukaweka katika dhuriya zao Unabii na Kitabu." Yaani, Manabii wa mwanzo na wa baadaye, wote walikuwa kutoka katika kizazi cha Nuhu na Ibrahim, amani iwe juu yao, na vivyo hivyo vitabu vyote vilivyoteremshwa, vyote vilikuwa kutoka katika kizazi cha manabii hawa wawili watukufu. "Basi wapo miongoni mwao." Yaani, miongoni mwa wale tuliowatumia Mitume "walioongoka" kwa wito wao, wakafuata maamrisho yao, na kuongoka kwa uwongofu wao. "Na wengi katika wao ni wavukao mipaka" ya Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Kama alivyosema Mwenyezi Mungu Mtukufu: "Na wengi wa watu si wenye kuamini hata ukijitahidi vipi."