Al-Hajj
Ini adalah terjemahan Tafsir as-Saʿdī sebagaimana diterbitkan IslamHouse.com di saadi.islamenc.com, dibaca dari halaman-halaman situs itu. Situs itu tidak menyebutkan siapa yang menerjemahkannya maupun edisi cetak mana yang diikutinya, dan tidak menyatakan ketentuan untuk mengambil teksnya, sehingga hak untuk menampilkannya belum diverifikasi. Belum ada yang membandingkannya dengan buku cetak, dan belum ada ulama yang meninjaunya. Setiap bagian berdiri di samping ayat-ayat yang diulasnya, yaitu teks Al-Qur’an dari Tanzil, ditampilkan sebagaimana adanya di sana; ayat yang tidak diberi ulasan tersendiri oleh situs itu berdiri bersama bagian sebelumnya, dan indeks menyebutkan setiap ayat semacam itu. Sabīl tidak menulis atau menerjemahkan satu pun darinya.
Teks darisaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)diambil 2026-10-22
أَلَمْ تَرَ أَنَّ ٱللَّهَ أَنزَلَ مِنَ ٱلسَّمَآءِ مَآءً فَتُصْبِحُ ٱلْأَرْضُ مُخْضَرَّةً ۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَطِيفٌ خَبِيرٌ 63
{63} Haya ni kutia moyo kutoka kwa Mwenyezi Mungu na kutia moyo kuzitazama ishara zake zinazoashiria upweke wake na ukamilifu wake. Akasema: "Je, huoni?" Yaani, je, hukushuhudia kwa kuona kwako na kwa ufahamu wako, "kwa hakika Mwenyezi Mungu aliteremsha maji kutoka mbinguni" ndani yake hukauka, hivyo inakuwa kijani; umevishwa kila mmea ukarimu (uzuri unaotokana na rangi ya kijani), na kwa hivyo ana sura ya furaha (nzuri), kwamba yule aliyeifufua baada ya kufa kwake na utulivu wake ni Mwenye kuwafufua wafu baada ya kuwa magofu. "Hakika Mwenyezi Mungu ni Mpole, Mwenye kujua." Mpole, ambaye kuelewa mambo ya ndani, yaliyofichikana, na siri yake, na anayewaletea wema waja wake, na anaepusha maovu kwa njia zinazofichika kwa waja wake. Sehemu ya wema wake ni kumuonyesha mja wake hadhi yake katika kulipiza kisasi, na ukamilifu wa uwezo wake, na kisha anaonyesha wema wake baada ya mja kuwa kwenye maangamizo. Sehemu ya wema wake ni kuwa anajua mahali yalipo matone ya ardhi na mbegu za ardhi ndani yake, hivyo anayaongoza maji hayo kwenye mbegu ambayo imefichika kutokana na elimu ya uumbaji, na kutokana nayo huota kila aina ya mimea. "Mwenye kujua" siri za mambo, mambo yaliofichika katika vifua , na siri za mambo.