Skip to content
Tafsir As-Saadi - Swahili · An-Naazi'aat
Sūrah 79

An-Naazi'aat

This is a translation of Tafsīr as-Saʿdī as IslamHouse.com publishes it at saadi.islamenc.com, read from that site’s pages. The site does not say who translated it or which printed edition it follows, and states no terms for taking its text, so the right to show it is not verified. Nobody has compared it with a printed book, and no scholar has reviewed it. Each passage stands beside the verses it comments on, which are the Qur’ān text of Tanzil, shown as it is there; a verse the site gives no commentary of its own stands with the passage before it, and the index names each such verse. Sabīl did not write or translate any of it.

Text fromsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)taken 2026-10-22

Verses 6–9

يَوْمَ تَرْجُفُ ٱلرَّاجِفَةُ 6 تَتْبَعُهَا ٱلرَّادِفَةُ 7 قُلُوبٌ يَوْمَئِذٍ وَاجِفَةٌ 8 أَبْصَـٰرُهَا خَـٰشِعَةٌ 9

{6 - 9} "Siku kitakapotetemeka cha kutetemeka" ambayo ni kuja kwa Saa (ya Kiyama), "Kifuate cha kufuatia" Yaani, mtetemeko mwingine unaoifuata na kuja baada yake. "Siku hiyo nyoyo zitapigapiga" kwa sababu ya ukali wa yale ambayo zinayaona na kukisikia. "Macho yatainama chini" huku yamedhalilika, kutwezwa, kwa sababu nyoyo zao zitakuwa zimetawaliwa na hofu na majuto makubwa.