Yaseen
This is a translation of Tafsīr as-Saʿdī as IslamHouse.com publishes it at saadi.islamenc.com, read from that site’s pages. The site does not say who translated it or which printed edition it follows, and states no terms for taking its text, so the right to show it is not verified. Nobody has compared it with a printed book, and no scholar has reviewed it. Each passage stands beside the verses it comments on, which are the Qur’ān text of Tanzil, shown as it is there; a verse the site gives no commentary of its own stands with the passage before it, and the index names each such verse. Sabīl did not write or translate any of it.
Text fromsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)taken 2026-10-22
لَقَدْ حَقَّ ٱلْقَوْلُ عَلَىٰٓ أَكْثَرِهِمْ فَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ 7
{7} Lakini hawa uliotumwa kwao ili uwaonye, baada ya kuwaonya waligawanyika sehemu mbili; kundi lililokataa yale uliyowajia nayo na wala halikukubali maonyo, na hao ndio wale ambao Mwenyezi Mungu alisema juu yao: "Bila ya shaka kauli imekwisha thibiti juu ya wengi katika wao, kwa hivyo hawaamini." Hilo liliwafika baada ya kufikishiwa haki lakini wakaikataa. Hapo, wakaadhibiwa kwa kuzibwa nyoyo zao.