Al-Qasas
This is a translation of Tafsīr as-Saʿdī as IslamHouse.com publishes it at saadi.islamenc.com, read from that site’s pages. The site does not say who translated it or which printed edition it follows, and states no terms for taking its text, so the right to show it is not verified. Nobody has compared it with a printed book, and no scholar has reviewed it. Each passage stands beside the verses it comments on, which are the Qur’ān text of Tanzil, shown as it is there; a verse the site gives no commentary of its own stands with the passage before it, and the index names each such verse. Sabīl did not write or translate any of it.
Text fromsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)taken 2026-10-22
وَجَعَلْنَـٰهُمْ أَئِمَّةً يَدْعُونَ إِلَى ٱلنَّارِ ۖ وَيَوْمَ ٱلْقِيَـٰمَةِ لَا يُنصَرُونَ 41
{41} "Na tuliwafanya ni waongozi waitao kwenye Moto;" yaani, tukamfanya Firauni na wakuu wake miongoni mwa maimamu kuwa ni maimamu wa kuigwa, naye anatembea nyuma yao mpaka kwenye makaazi ya aibu na taabu. "Na Siku ya Kiyama hawatanusuriwa," kwa sababu ya adhabu ya Mwenyezi Mungu. Hao ndio walio dhaifu zaidi katika kujilipia riziki zao, wala hawana mlinzi wala msaidizi isipo kuwa Mwenyezi Mungu.