Skip to content
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Anbiyaa
Sūrah 21

Al-Anbiyaa

This is a translation of Tafsīr as-Saʿdī as IslamHouse.com publishes it at saadi.islamenc.com, read from that site’s pages. The site does not say who translated it or which printed edition it follows, and states no terms for taking its text, so the right to show it is not verified. Nobody has compared it with a printed book, and no scholar has reviewed it. Each passage stands beside the verses it comments on, which are the Qur’ān text of Tanzil, shown as it is there; a verse the site gives no commentary of its own stands with the passage before it, and the index names each such verse. Sabīl did not write or translate any of it.

Text fromsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)taken 2026-10-22

Verse 20

يُسَبِّحُونَ ٱلَّيْلَ وَٱلنَّهَارَ لَا يَفْتُرُونَ 20

{20} "Wanamtakasa usiku na mchana, wala hawanyong'onyei," wamezama katika ibada na kumtakasa katika nyakati zao zote. Na hakuna katika wakati wao wowote wakati ambao ni mtupu usiokuwa na ibada hizi. Na pamoja na wingi wao, wote wanasifika kwa sifa hii. Katika haya kuna kubainisha ukuu wake na ukubwa na mamlaka yake na ukamilifu wa elimu yake na hekima yake, mambo ambayo yanalazimu kwamba asiabudiwe isipokuwa Yeye tu, na wala asifanyiwe ibada yeyote asiyekuwa Yeye.