Skip to content
Tafsir As-Saadi - Swahili · At-Takaathur
Sūrah 102

At-Takaathur

This is a translation of Tafsīr as-Saʿdī as IslamHouse.com publishes it at saadi.islamenc.com, read from that site’s pages. The site does not say who translated it or which printed edition it follows, and states no terms for taking its text, so the right to show it is not verified. Nobody has compared it with a printed book, and no scholar has reviewed it. Each passage stands beside the verses it comments on, which are the Qur’ān text of Tanzil, shown as it is there; a verse the site gives no commentary of its own stands with the passage before it, and the index names each such verse. Sabīl did not write or translate any of it.

Text fromsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)taken 2026-10-22

Verse 2

حَتَّىٰ زُرْتُمُ ٱلْمَقَابِرَ 2

{2} Basi mghafala wenu, na pumbao yenu, na shughuli zenu zikaendelea "Mpaka mje makaburini" ndipo hapo mkafunukiwa na kifuniko, lakini baada ya kutoweza kwenu kukirudisha. Na iliashiria kauli yake: “Mpaka mje makaburini" kwamba maisha ya kaburini ni maskani ambayo yalikusudiwa kupitia humo ndiyo mtu afike akhera. Kwa sababu Mwenyezi Mungu aliwaita wageni, wala hakuwaita wakaaji wa hapo, basi hilo likaashiria kwamba kutakuwepo ufufuo na malipo juu ya vitendo katika makazi ya kudumu, yasiyokwisha.