القدر
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
سَلَـٰمٌ هِىَ حَتَّىٰ مَطْلَعِ ٱلْفَجْرِ ٥
{5} "Amani usiku huo" kutokana na kila balaa na uovu, kwa hilo ni kwa sababu ya wingi wa heri zake, "mpaka mapambazuko ya alfajiri." Yaani, huanza kwa kuzama kwa jua na kuisha alfajiri. Zimeripotiwa hadithi nyingi za Mtume kuhusu fadhila zake, na kwamba ni katika Ramadhani na katika siku kumi za mwisho za Ramadhani, hasa katika siku za witiri (zisizogawanyika mara mbili sawasawa), nao utaendelea kuwepo kila mwaka hadi Saa ya Kiyama, na ndiyo maana Mtume - rehema na amani za Mwenyezi Mungu zimshukie - alikuwa akifanya itikafu na kufanya ibada kwa nyingi katika kumi la mwisho la Ramadhani, akitarajia kupata Laylat Al-Qadr. Na Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye zaidi.