القدر
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
لَيْلَةُ ٱلْقَدْرِ خَيْرٌ مِّنْ أَلْفِ شَهْرٍ ٣
{3} "Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu moja." Yaani, ni sawa na miezi elfu moja katika fadhila zake. Kwa hivyo matendo yanayofanywa ndani yake ni bora zaidi kuliko matendo yanayofanywa ndani ya miezi elfu moja isiyokuwa huo. Na hili ni katika mambo ambayo akili zinachanganyikiwa kwa sababu yake na kustaajabu. Kwa kuwa [Mwenyezi Mungu mtakatifu] Mtukufu aliuneemesha umma huu dhaifu, nguvu na uwezo katika usiku mmoja tu ambao matendo ya ndani yake ni sawa na au yanazidi matendo ya miezi elfu moja, muda wa maisha ya mtu aliyeishi kwa muda mrefu, miaka themanini na zaidi.