العلق
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
كَلَّا لَا تُطِعْهُ وَٱسْجُدْ وَٱقْتَرِب ۩ ١٩
{19} Ama hali ya anayekatazwa, Mwenyezi Mungu alimuamrisha kwamba asimsikilize huyu anayemkataza, wala asifuate makatazo yake, akasema: "Hasha! Usimtii!" Kwani haamrishi isipokuwa yenye hasara. "Nawe sujudu" kwa ajili ya Mola wako Mlezi, "na jikurubishe" kwake katika kusujudu na aina nyenginezo za utiifu na kujikurubisha kwake. Hayo yote humleta mtu karibu na radhi zake na kumleta karibu naye. Hili ni la jumla kwa kila mwenye kukataza heri na kwa kila mwenye kukatazwa heri, hata ikiwa sura hii iliteremka kwa sababu ya kisa cha Abu Jahl pale alipomkataa Mtume wa Mwenyezi - rehema na amani zimshukie – kuswali, akamtesa na kumuudhi.
Imekamilika, na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote.