التوبة
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
وَإِذَآ أُنزِلَتْ سُورَةٌ أَنْ ءَامِنُوا۟ بِٱللَّهِ وَجَـٰهِدُوا۟ مَعَ رَسُولِهِ ٱسْتَـْٔذَنَكَ أُو۟لُوا۟ ٱلطَّوْلِ مِنْهُمْ وَقَالُوا۟ ذَرْنَا نَكُن مَّعَ ٱلْقَـٰعِدِينَ ٨٦
{86} Yeye Mtukufu anasema akibainisha kuendelea kwa wanafiki kujitia uzito katika kufanya mambo ya utiifu na kwamba surah na Aya haziwaathiri: "Na inapoteremshwa Sura" wakiamrishwa ndani yake kumwamini Mwenyezi Mungu na kufanya Jihadi, katika Njia ya Mwenyezi Mungu, "wale wenye nguvu miongoni mwao hukutaka ruhusa." Yaani, wale wenye utajiri na mali, ambao hawana udhuru wowote. na Mwenyezi Mungu aliwapa mali na watoto. Je, hawamshukuru Mwenyezi Mungu na wakamhimidi na wakafanya yale aliyowawajibishia na akawafanyia wepesi mambo yake? Lakini walikataa ila uvivu na kuomba ruhusa ya kukaa nyuma, "wanasema: Tuache tuwe pamoja na wanaokaa nyuma!"