النازعات
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
يَقُولُونَ أَءِنَّا لَمَرْدُودُونَ فِى ٱلْحَافِرَةِ ١٠ أَءِذَا كُنَّا عِظَـٰمًا نَّخِرَةً ١١ قَالُوا۟ تِلْكَ إِذًا كَرَّةٌ خَاسِرَةٌ ١٢ فَإِنَّمَا هِىَ زَجْرَةٌ وَٰحِدَةٌ ١٣ فَإِذَا هُم بِٱلسَّاهِرَةِ ١٤
{10 - 14} "Sasa wanasema" makafiri hapa duniani kwa njia ya kukadhibisha "Hata tukiwa mifupa iliyobunguliwa? Wanasema: Basi marejeo hayo ni yenye hasara!" Yaani, waliona kwamba haliwezekani kwamba Mwenyezi Mungu atawafufua na kuwarudisha baada ya kuwa mifupa iliyooza, kwa sababu ya ujinga wao kuhusiana na uwezo wa Mwenyezi Mungu na kwa kumdharau Yeye! Mwenyezi Mungu alisema katika kufafanua wepesi wa jambo hili: "Kwa hakika hayo ni ukelele mmoja tu." Ambapo itapulizwa katika baragumu, na hapo viumbe vyote "watakuwa kwenye uwanda wa mkutano" wamesimama wakingoja. Kisha Mwenyezi Mungu atawakusanya pamoja, na kuhukumu kati yao kwa hukumu yake ya uadilifu, na awalipe.