الجن
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
وَأَنَّهُۥ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ ٱلْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ ٱلْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا ٦
{6} Yaani, wanadamu walikuwa wakitafuta hifadhi kwa majini wakati wa hofu na mafadhaiko na kuwaabudu, basi wanadamu wakawa wanawaelemea majini, kwa kuwafanya wavuke mipaka na kuwa na kiburi, walipowaona wanadamu wanawaabudu na kutafuta hifadhi kwao. Na inawezekana kwamba maana yake pia ni kwamba "majini" wawalizidisha wanadamu hofu na mafadhaiko kwa walipowaona wakitafuta hifadhi kwao, ili kuwashinikiza wajikinge kwao na washikamane na wanavyofanya wao. Basi wakawa wanadamu wanapoteremka kwenye bonde la kutisha, wanasema: 'Ninajikinga kwa bwana wa bonde hili kutokana na wapumbavu wa watu wake."