انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الحاقة
السورة ٦٩

الحاقة

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآيات ١٩–٢٠

فَأَمَّا مَنْ أُوتِىَ كِتَـٰبَهُۥ بِيَمِينِهِۦ فَيَقُولُ هَآؤُمُ ٱقْرَءُوا۟ كِتَـٰبِيَهْ ١٩ إِنِّى ظَنَنتُ أَنِّى مُلَـٰقٍ حِسَابِيَهْ ٢٠

{19 - 20} Na hawa ndio watu watakaopata furaha. Wanapewa vitabu vyao vilivyo na matendo yao mema kwa mikono yao ya kulia, ili kuwapambanua, kuashiria hadhi zao nzuri na kuinua hadhi yao, na hapo mmoja wao atasema kwa sababu ya furaha kubwa na huku wakipenda kwamba viumbe wote wajue ni nini Mwenyezi Mungu amewaneemesha kwacho cha utukufu. "Haya someni kitabu changu!" Kwani kinanibashiria mabustani ya mbinguni, aina mbalimbali za mambo matukufu, maghufira ya dhambi na kusitiriwa kasoro, na kile kilichonifikisha katika haya ni yale ambayo Mwenyezi Mungu alinineemesha kwayo ya kuamini ufufuo, kuulizwa juu ya matendo, na kujiandaa kwa ajili yake kwa matendo mema yawezekanayo. Ndiyo maana akasema: "Hakika nilijua ya kuwa nitapokea hisabu yangu."