انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الواقعة
السورة ٥٦

الواقعة

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآيات ٥٤–٥٦

فَشَـٰرِبُونَ عَلَيْهِ مِنَ ٱلْحَمِيمِ ٥٤ فَشَـٰرِبُونَ شُرْبَ ٱلْهِيمِ ٥٥ هَـٰذَا نُزُلُهُمْ يَوْمَ ٱلدِّينِ ٥٦

{54 - 56} Ama kinywaji chao, hicho kitakuwa ndicho kinywaji kibaya zaidi, nacho ni kwamba watakunywa pamoja na chakula hiki maji ya moto yanayochemka matumboni "kama wanavyokunywa ngamia wenye kiu." Na pia ilisemekana kwamba ni ngamia waliosibiwa na ugonjwa ambao unawafanya kutokata kiu chao hata wakinywa maji. "Hiyo ndiyo karamu yao ya kuwakaribisha Siku ya Malipo" ambayo wao wenyewe ndio waliojisababishia na kuipenedelea na wakakataa karamu ya makaribisho mazuri ya Mwenyezi Mungu kwa vipenzi wake. Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: "Hakika wale walioamini na wakatenda mema, mashukio yao yatakuwa kwenye Pepo za Firdausi. Watadumu humo; hawatataka kuondoka."