انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الزخرف
السورة ٤٣

الزخرف

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٣٧

وَإِنَّهُمْ لَيَصُدُّونَهُمْ عَنِ ٱلسَّبِيلِ وَيَحْسَبُونَ أَنَّهُم مُّهْتَدُونَ ٣٧

{37} "Na hakika wao wanawazuilia Njia" iliyonyooka na Dini iliyo sawa, "na wenyewe wanadhani kuwa wameongoka" kwa sababu ya kupambiwa na Shetani batili na kuwafanya kuona kwamba ni nzuri, na kuipa kwao mgongo haki, basi hili na lile vikakusanyika pamoja. Ikisemwa: Je, kuna udhuru wowote kwa hili kwa kuwa alidhania kwamba ameongoka ilhali hakuwa ameongoka? Itasemwa: Huyu na wengine mfano wake hawana udhuru wowote, ambao chanzo cha ujinga wao ni kuupa mgongo ukumbusho wa Mwenyezi Mungu ijapokuwa walikuwa na uwezo wa kuongoka. Lakini wakakata tamaa ya kuongoka ijapokuwa walikuwa na uwezo wa kufanya hivyo, na wakapenda sana batili. Kwa hivyo, dhambi ni dhambi yao, na kosa ni kosa lao.