انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الصافات
السورة ٣٧

الصافات

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٦٠

إِنَّ هَـٰذَا لَهُوَ ٱلْفَوْزُ ٱلْعَظِيمُ ٦٠

{60} Mwenyezi Mungu Mtukufu alipotaja neema ya Pepo na akaielezea kwa maelezo haya mazuri; akaisifu na akawasisimua wafanyaji matendo na akawahimiza kuifanyia matendo. Akasema: "Hakika huku bila ya shaka ndiko kufuzu kukubwa," ambako kutokana nako walipata kila la heri na kila linalotamaniwa na nafsi zao, na wakazuilika mbali na kila la kuepukwa na la kuchukiza. Basi je, kuna ushindi mwingine zaidi yake unaoweza kutafutwa? Au huu ndio mwisho wa malengo yote, ambapo walipata kuridhiwa na Mola Mlezi wa ardhi na mbingu, na wakafurahia kuwa karibu naye, na wakapata raha katika kumjua, na wakashiba kwa kumuona, na wakafurahia kuyasikiliza maneno yake?