انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · يس
السورة ٣٦

يس

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٨١

أَوَلَيْسَ ٱلَّذِى خَلَقَ ٱلسَّمَـٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ بِقَـٰدِرٍ عَلَىٰٓ أَن يَخْلُقَ مِثْلَهُم ۚ بَلَىٰ وَهُوَ ٱلْخَلَّـٰقُ ٱلْعَلِيمُ ٨١

{81} Kisha akataja ushahidi wa nne, akasema: "Kwani aliyeziumba mbingu na ardhi" pamoja na upana wake na ukubwa wake "hawezi kuwaumba mfano wao?" Yaani, kuwarudisha vile walivyokuwa, "Kwani!" Yeye anaweza hilo. Kwa maana kuumbwa kwa mbingu na ardhi ni kukubwa kuliko kuumbwa kwa watu. "Naye ndiye Muumbaji Mkuu, ajuaye zaidi." Na huu ndio ushahidi wa tano. Kwani Yeye Mtukufu ndiye Muumbaji wa viumbe vyote vya mwanzo na vya mwisho, vidogo na vikubwa, vyote ni athari miongoni mwa athari za uumbaji wake na uwezo wake, na kwamba hakuna kiumbe kinachoweza kumshinda akitaka kukiumba. Kwa hivyo, kurudisha kwake wafu ni sehemu katika athari za uumbaji wake.