انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · فاطر
السورة ٣٥

فاطر

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٣٤

وَقَالُوا۟ ٱلْحَمْدُ لِلَّهِ ٱلَّذِىٓ أَذْهَبَ عَنَّا ٱلْحَزَنَ ۖ إِنَّ رَبَّنَا لَغَفُورٌ شَكُورٌ ٣٤

{34} "Na" zilipokamilika neema zao na radhi zao zikakamilika, "wakasema: Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye ametuondolea huzuni." Na haya ni pamoja na huzuni zote. Hakuna huzuni inayowapata kwa sababu ya upungufu wa uzuri wao, wala katika vyakula vyao na vinywaji, wala katika anasa zao, wala katika miili yao, wala katika muda wa kukaa kwao. Wako katika raha ambayo wanaona inaongezeka, na inaongezeka milele. "Hakika Mola wetu Mlezi ni Msamehevu." Ametusamehe madhambi yetu. "Mwenye shukrani," ametukubalia mema yetu na akayazidisha, na akatupa katika fadhila zake ambazo hazikufikiwa na amali na matarajio yetu. Kwa msamaha wake, waliokolewa na madhara na vitisho vyote, na kwa shukrani na neema yake; walipata kila kitu walichotaka na kupenda.