انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · النمل
السورة ٢٧

النمل

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٥٢

فَتِلْكَ بُيُوتُهُمْ خَاوِيَةًۢ بِمَا ظَلَمُوٓا۟ ۗ إِنَّ فِى ذَٰلِكَ لَـَٔايَةً لِّقَوْمٍ يَعْلَمُونَ ٥٢

{52} "Basi hizo nyumba zao ni tupu," tayari kuta zake zimeshabomoka na kuangukia dari zake, na zikabakia tupu bila ya wakazi wake, na haziwezi tena kuingiwa na waliokuwa wakishukia hapo "kwa sababu ya walivyodhulumu." Yaani, huu ndio mwisho wa udhalimu wao na kumshirikisha kwao Mwenyezi Mungu na kudhulumu kwao duniani. "Hakika bila ya shaka katika hayo ipo Ishara kwa watu wanaojua," uhakika, na wanazingatia matukio ya Mwenyezi Mungu katika vipenzi wake na maadui zake, kwa hivyo wanazingatia kwa hayo, na wanajua kwamba mwisho wa dhuluma ni kuangamia, na kwamba mwisho wa imani na uadilifu ni kuokoka na kufaulu.