الفرقان
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
قُلْ مَا يَعْبَؤُا۟ بِكُمْ رَبِّى لَوْلَا دُعَآؤُكُمْ ۖ فَقَدْ كَذَّبْتُمْ فَسَوْفَ يَكُونُ لِزَامًۢا ٧٧
{77} Na kwa kuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu aliwafungamanisha waja hawa na rehema zake, na akawataja kwa njia maalumu kwamba wao ndio waja wake kwa sababu ya heshima yao ubora wao, huenda akafikiria kwamba yeye, pamoja na wengine pia, kwa nini wasiingie katika uja huu? Yeye Mtukufu akajulisha kwamba hawajali wengine, na kwamba ikiwa yasingekuwa maombi yao kwake, maombi ya ibada na maombi ya kutaka jambo fulani, basi asingewajali wala kuwapenda. Akasema, "Sema: Mola wangu Mlezi asingewajali lau kuwa si kuomba kwenu. Lakini nyinyi mmemkadhibisha. Basi adhabu lazima iwe;" na iandamane nao kama mwenye deni anavyoandamana na madaiwa wake. Na Mwenyezi Mungu atahukumu kati yenu na waja wake Waumini.
Imekamilika tafsiri ya Surat Al-Furqan. Basi himdi zote, sifa njema na shukrani ni za Mwenyezi Mungu milele.