الفرقان
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
أَصْحَـٰبُ ٱلْجَنَّةِ يَوْمَئِذٍ خَيْرٌ مُّسْتَقَرًّا وَأَحْسَنُ مَقِيلًا ٢٤
{24} Yaani, katika siku hiyo kubwa, "Wenza wa Pepo" ambao walimuamini Mwenyezi Mungu na wakatenda mema na wakamcha Mola wao Mlezi "watakuwa katika makazi bora," kuliko wenza wa Moto; "na mahali penye starehe nzuri." Yaani, maskani yao Peponi na mapumziko yao, ndiyo maskani yenye manufaa na mapumziko kamili, kwa sababu hayo yanajumuisha neema kamili ambayo haina dosari yoyote. Tofauti na wenza wa Moto. Jahannamu, maskani yao ndiyo mahali na maskani pabaya zaidi. Na hii ni mbinu ya kutumia vitendo vya kuonyesha ubora ingawa hakuna ubora huo kwa yule asiyekuwa nao. Kwa sababu hakuna heri yoyote katika mahali na maskani ya wenza wa Moto. Kama anavyosema, "Je, Mwenyezi Mungu ndiye bora, au wale wanaowashirikisha naye?"