النور
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
فَإِن لَّمْ تَجِدُوا۟ فِيهَآ أَحَدًا فَلَا تَدْخُلُوهَا حَتَّىٰ يُؤْذَنَ لَكُمْ ۖ وَإِن قِيلَ لَكُمُ ٱرْجِعُوا۟ فَٱرْجِعُوا۟ ۖ هُوَ أَزْكَىٰ لَكُمْ ۚ وَٱللَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ عَلِيمٌ ٢٨
{28} "Na msipomkuta mtu humo," msiingie humo "Mpaka mruhusiwe. Na mkiambiwa: Rudini! Basi rudini." Yaani, msikatae kurudi na wala msimkasirikie; hakika mwenye nyumba hakuwanyima haki ambayo ni wajibu kwenu, bali yeye ni mfadhili mtoaji. Akitaka, anaruhusu au anazuia na kukataa; basi yeyote miongoni mwenu asifanye kiburi na kuchukizwa na hali hii; "Hivi ni usafi zaidi kwenu." Yaani, ina ufanisi zaidi katika kuwatakaseni na maovu na kuwaendeleza kwa vitendo vyema. "Na Mwenyezi Mungu anajua mnayoyatenda." Na humlipa kila mtendaji kwa amali yake, kwa wingi na uchache na nzuri na kutokuwa nzuri.