انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · النور
السورة ٢٤

النور

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ١٧

يَعِظُكُمُ ٱللَّهُ أَن تَعُودُوا۟ لِمِثْلِهِۦٓ أَبَدًا إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ ١٧

{17} "Mwenyezi Mungu anawaonya msirejee tena kufanya kama haya kabisa." Yaani, kwa mtazamo sawa na kuwatuhumu waumini kwa uovu; Mwenyezi Mungu anawaaadhi na kuwanasihi nyinyi juu ya hayo, na ni mawaidha na nasaha zilizo bora kabisa kutoka kwa Mola wetu Mlezi. Ni lazima tukabiliane nayo kwa kukubali, kunyenyekea, na kujisalimisha, na shukrani kwake kwa yale aliyotubainishia, kwamba Mwenyezi Mungu ni baraka na heri katika yale anayowaaidhia nyinyi, "Ikiwa nyinyi ni Waumini." Limejulisha hilo kwamba imani ya kweli inamzuia mwenye nayo katika kutanguliza kufanya mambo ya haramu.