النور
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
وَلَوْلَا فَضْلُ ٱللَّهِ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَتُهُۥ وَأَنَّ ٱللَّهَ تَوَّابٌ حَكِيمٌ ١٠
{10} "Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu juu yenu na rehema yake, na ya kuwa Mwenyezi Mungu ni Mpokeaji toba na Mwenye hekima." Na jibu la sharti limeondolewa, kwa mujibu wa muktadha wa maneno. Yaani, ingalimhalalikia na kutokea kwa mwongo katika mmoja miongoni mwa wale wawili waliojilaani yale alyejiombezea nafsi yake. Na kutokana na rehema na neema yake ni kuthubutu kwa hukumu hii mahususi kwa wanandoa. Kwa sababu ya haja yake kubwa, na kukueleza ukali wa uzinzi na uzinifu, na fedheha yake, na fedheha ya kashfa yake, na kuanza kutubia kutokana na dhambi hizi kubwa na nyinginezo.