الأنبياء
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
مَآ ءَامَنَتْ قَبْلَهُم مِّن قَرْيَةٍ أَهْلَكْنَـٰهَآ ۖ أَفَهُمْ يُؤْمِنُونَ ٦
{6} Mwenyezi Mungu akasema, "Hawakuamini kabla yao watu wa mji wowote tuliouangamiza" kwa ishara hizi walizozipendekeza wao. Na desturi yake inahitaji kwamba yeyote atakayezitafuta, kisha akazipata, na asiamini, kwamba anamharakishia adhabu. Na wa mwanzo hawakuziamini, basi je hawa ndio wataziamini? Ni nini kilichowafanya wao kuwa bora kuliko wale? Na kuna heri gani ndani yao ambayo itawafanya waamini wakati zitakapopatikana? Na mbinu hii ya kuuliza swali ina maana ya kukanusha. Yaani, kamwe hilo haliwezekani kutoka kwao abadani.