الأنبياء
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
قَالُوٓا۟ أَجِئْتَنَا بِٱلْحَقِّ أَمْ أَنتَ مِنَ ٱللَّـٰعِبِينَ ٥٥
{55} "Wakasema," kwa kushangaza kwa kusema kauli yake, na kutaka kujua kwa kile alichosema, na jinsi alivyowaanza kwa kuwakejeli wao na wazazi wao. "Je, umetujia kwa maneno ya kweli au wewe ni katika wachezao tu?" Yaani, maneno haya ambayo mliyasema na ambayo mlituletea. Je, uwepo wake ni kweli, au maneno yako kwetu ni maneno ya mchezaji mdhihaki ambaye hajui anachosema? Hivi ndivyo walivyotaka, lakini walirudisha maneno kati ya mambo hayo mawili kwa sababu wao waliiweka katika hadhi ya yale yaliyoamuliwa na kujulikana kwa kila mtu, kwamba maneno aliyoyaleta Ibrahimu yalikuwa ni maneno ya kipumbavu ambayo hayana maana ya kile anachosema.