طه
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
قَالُوا۟ مَآ أَخْلَفْنَا مَوْعِدَكَ بِمَلْكِنَا وَلَـٰكِنَّا حُمِّلْنَآ أَوْزَارًا مِّن زِينَةِ ٱلْقَوْمِ فَقَذَفْنَـٰهَا فَكَذَٰلِكَ أَلْقَى ٱلسَّامِرِىُّ ٨٧ فَأَخْرَجَ لَهُمْ عِجْلًا جَسَدًا لَّهُۥ خُوَارٌ فَقَالُوا۟ هَـٰذَآ إِلَـٰهُكُمْ وَإِلَـٰهُ مُوسَىٰ فَنَسِىَ ٨٨
87-88. Yaani wakamwambia: Hatukufanya yale tuliyoyafanya kwa kukusudia na uwezo wetu wenyewe, lakini sababu iliyoitia kufanya hivyo ni kwamba tuliona kwamba ni dhambi kukaa na mapambo ya watu tuliyonao. Na kama ilivyotaja ni kwamba walikuwa wameazima mapambo mengi kutoka kwa Wakopti. Kisha wakatoka huku wanayo. Kwa hivyo, wakayakusanya na kuyatupa (motoni) wakati Musa alipokwenda ili wamrai atakaporudi. Naye yule Msamaria alikuwa ameziona athari za unyao wa Mtume (Jibril), kwa hivyo nafsi yake ikamshawishi kuchukua mkono katika athari za nyayo zake, na kwamba akiitupa juu ya kitu, kinapata uhai, nayo ni majaribio na mtihani. Basi akamtupia ndama yule aliyemuunda kwa umbo la ndama kutoka kwa mapambo, kwa hivyo akasongasonga, na akawa anatoa sauti ya ng'ombe. Wakasema: Hakika Musa alikwenda kumtafuta Mola wake Mlezi, naye yuko papa hapa, alimsahau.