انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · طه
السورة ٢٠

طه

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآيات ٨٠–٨١

يَـٰبَنِىٓ إِسْرَٰٓءِيلَ قَدْ أَنجَيْنَـٰكُم مِّنْ عَدُوِّكُمْ وَوَٰعَدْنَـٰكُمْ جَانِبَ ٱلطُّورِ ٱلْأَيْمَنَ وَنَزَّلْنَا عَلَيْكُمُ ٱلْمَنَّ وَٱلسَّلْوَىٰ ٨٠ كُلُوا۟ مِن طَيِّبَـٰتِ مَا رَزَقْنَـٰكُمْ وَلَا تَطْغَوْا۟ فِيهِ فَيَحِلَّ عَلَيْكُمْ غَضَبِى ۖ وَمَن يَحْلِلْ عَلَيْهِ غَضَبِى فَقَدْ هَوَىٰ ٨١

{80-81} Mwenyezi anawakumbusha Wana wa Israili baraka zake kubwa juu yao kwa kumwangamiza adui yao, na ahadi yake kwa Musa, amani iwe juu yake, karibu na upande wa kulia wa mlima; ili ateremshiwe kitabu ambacho hukumu kuu na habari njema; ili neema ya kidini ikamilike kwa ajili yao baada ya neema ya kidunia. Na pia anakumbusha baraka zake juu yao kwa kutangatanga kwa kuwateremshia Manna na Salwa, na riziki ya starehe ambayo wanaipata bila shida. Na kwamba aliwaambia: ''Kuleni vitu vizuri ambavyo tumewaruzuku;'' yaani, mshukuruni kwa baraka ambazo amewapa "wala msiruke mipaka." Yaani, katika riziki yake, kwa hivyo mkaitumia katika madhambi yake na mkapoteza neema zake; kwani mkifanya hivyo, hasira zangu zitawashukia. Yaani nitawakasirikia kisha nitawaadhibu. "Na yule inayemshukia ghadhabu yangu hakika amefata ameangamia." Yaani aliitikia, akaangamia, akakata tamaa, akapata hasara. Kwa sababu ya ukosefu wa kuridhia na hisani; na hasira na hasara zilimjia.