انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · طه
السورة ٢٠

طه

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٤٨

إِنَّا قَدْ أُوحِىَ إِلَيْنَآ أَنَّ ٱلْعَذَابَ عَلَىٰ مَن كَذَّبَ وَتَوَلَّىٰ ٤٨

{48I} " Hakika sisi tumeteremshiwa." Yaani: habari zetu zinatoka kwa Mungu, si kutoka kwetu sisi wenyewe. "Hakika adhabu iko juu ya wanaokadhibisha na wakapuuza." Yaani alikanusha habari za Mwenyezi Mungu na habari za Mitume wake, na akajiepusha na kuwanyenyekea na kuwafuata. Hii ni himizo kwa Firauni kuamini, kusadiki, na kuwafuata, na kuwatisha wanaopinga hayo. Lakini mawaidha na ukumbusho huu haukumsaidia; basi alimkataa Mola wake Mlezi na akamkufuru, na akajadiliana juu yake kwa dhuluma na ukaidi.