انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · طه
السورة ٢٠

طه

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ١٧

وَمَا تِلْكَ بِيَمِينِكَ يَـٰمُوسَىٰ ١٧

{17} Mwenyezi Mungu alipombainishia Musa msingi wa imani, alitaka kumbainishia na kumuonyesha katika ishara zake kile ambacho kwacho moyo wake utatua na jicho lake litatulia, na imani yake itapata nguvu kwa msaada wa Mwenyezi Mungu dhidi ya adui zake. Akasema, "Na nini hicho kilichomo mkononi mwako wa kulia, ewe Musa?" Na hili ni pamoja na kwamba Yeye Mtukufu alikuwa anakijua vyema kilichomo, lakini ni kwa sababu ya kuonyesha umuhimu mkubwa wa suala hili, akawa amenena kwa njia ya kuuliza.