انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · طه
السورة ٢٠

طه

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ١٢٩

وَلَوْلَا كَلِمَةٌ سَبَقَتْ مِن رَّبِّكَ لَكَانَ لِزَامًا وَأَجَلٌ مُّسَمًّى ١٢٩

{129} Hii ni burudani kwa Mtume na subira kwake juu ya kuharakisha kuwaangamiza makafiri, na kwamba ukafiri wao na ukanushaji wao ni sababu sahihi ya kuwapata adhabu na kuwa ni lazima kwao. Kwa sababu Mwenyezi Mungu alizifanya adhabu kuwa ni sababu na matokeo ya madhambi waliyokuwa nayo, na watu hawa wakaileta sababu, lakini alicho wacheleweshea ni neno la Mola wako Mlezi ambalo ni pamoja na kuwapa muhula, kuwachelewesha, na kupiga muda uliowekwa. Muda uliowekwa na msukumo wa Neno la Mwenyezi Mungu ndio uliochelewesha adhabu kutoka kwao mpaka muda ukapita. Na huenda wakairejea amri ya Mwenyezi Mungu na akawasamehe dhambi zao na kuwaondolea adhabu ikiwa Neno halitatimia juu yao.