انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · طه
السورة ٢٠

طه

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ١١٥

وَلَقَدْ عَهِدْنَآ إِلَىٰٓ ءَادَمَ مِن قَبْلُ فَنَسِىَ وَلَمْ نَجِدْ لَهُۥ عَزْمًا ١١٥

{115} Yaani, tulimuusia Adam, na tukamwamrisha, na tukamwekea ahadi ya kuitekeleza. Basi akashikamana nayo, akaitii, na akaazimia kulifanya. Na pamoja na hayo, aliyasahau yale aliyokuwa ameamrishwa kuyafanya, na dhamira yake thabiti ikavunjika na yakamtokea yale yaliyomtokea. Hivyo akawa ni mfano kwa kizazi chake, na tabia zao zikawa sawa na tabia ya Adam. Alisahau na dhuria wake wakasahau, na akafanya dhambi na wakafanya dhambi, na hakubakia katika azma thabiti na wakafanya vivyo hivyo. Na akaharakisha kutubia dhambi yake, akaikubali, na akakiri na akasamehewa, na anayefanana na baba yake hajadhulumu.