طه
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
فَلَمَّآ أَتَىٰهَا نُودِىَ يَـٰمُوسَىٰٓ ١١
{11} "Basi alipoufikia" moto huo ambao aliuona kwa mbali, na kwa hakika ulikuwa ni nuru lakini ukawa moto wenye kuunguza na kung’aa. Na hili linaashiriwa na kauli yake – rehema na amani za Mwenyezi Mungu zimshukie, “Pazia lake ni nuru au moto. Lau litafunuliwa, basi nuru ya uso wake ungechoma viumbe wake wote.” Na Musa alipoufikia, akaitwa kutoka humo kama Mwenyezi Mungu Mtukufu alivyosema, "Na tulimwita kutokea upande wa kulia wa mlima, na tukamsongeza karibu kunong'ona naye."