الكهف
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
ثُمَّ أَتْبَعَ سَبَبًا ٩٢ حَتَّىٰٓ إِذَا بَلَغَ بَيْنَ ٱلسَّدَّيْنِ وَجَدَ مِن دُونِهِمَا قَوْمًا لَّا يَكَادُونَ يَفْقَهُونَ قَوْلًا ٩٣
{92- 93} ''Kisha akaifuata njia.'' "Hata alipofika katikati ya milima miwili" Wafasiri walisema: Alikwenda kutoka Mashariki kuelekea Kaskazini, na akafika katikati ya milima miwili. Nayo ilikuwa inajulikana katika wakati huo, miongoni mwa safu ya milima iliyounagana upande wa kulia na wa kushoto mpaka iungane na bahari, kati ya Yaajuju na Maajuju na watu, "alikuta" kati ya milima hiyo miwili "kaumu ambao walikaribia kutofahamu neno lolote." Kwa sababu ya ugeni wa lugha yao na kutofahamu kwa akili zao na nyoyo zao.