انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الكهف
السورة ١٨

الكهف

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٦١

فَلَمَّا بَلَغَا مَجْمَعَ بَيْنِهِمَا نَسِيَا حُوتَهُمَا فَٱتَّخَذَ سَبِيلَهُۥ فِى ٱلْبَحْرِ سَرَبًا ٦١

{61} Na hii ilikuwa azimio madhubuti kutoka kwake, na ndiyo maana akaitimiza, "Basi wawili hao" yeye na kijana wake "walipofika zinapokutana hizo bahari mbili, walimsahau samaki wao." Naye alikuwa yule samaki ambaye walikuwa wakimla, na alikuwa ameahidiwa kwamba wakati atakapomteza samaki huyo, basi hapo ndipo kuna yule mja uliyemkusudia. "Naye" samaki yule "akashika njia yake akaponyokea baharini". Hii ni katika ishara. Wamesema wafasiri: Samaki huyo ambaye walikuwa wakimla, walipofika mahali hapo, aliendewa na unyevu wa bahari, basi akaponyoka kwa idhini ya Mwenyezi Mungu akaingia baharini akawa hai pamoja na wanyama wake.