انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · ابراهيم
السورة ١٤

ابراهيم

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٣٦

رَبِّ إِنَّهُنَّ أَضْلَلْنَ كَثِيرًا مِّنَ ٱلنَّاسِ ۖ فَمَن تَبِعَنِى فَإِنَّهُۥ مِنِّى ۖ وَمَنْ عَصَانِى فَإِنَّكَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ ٣٦

{36} Kisha akataja sababu ya hofu yake juu ya nafsi yake na juu ya wanawe kwa sababu ya wingi wa wale waliojaribiwa na kupewa mtihani wa kuyaabudu. Akasema: "Ewe Mola wangu Mlezi! Hakika hayo yamewapoteza wengi wa watu. Basi aliyenifuata mimi" katika yale niliyokuja nayo ya tauhidi na kumkusudia Mwenyezi Mungu tu, Mola Mlezi wa walimwengu wote, "huyo ni miongoni mwangu" kwa sababu ya ukamilifu wa kuafikiana kwake. Na mwenye kuwapenda kaumu fulani na akawafuata, atajiunga nao. "Mwenye kurehemu mno" Haya ni katika huruma yake Al-Khalil, rehema na amani ziwe juu yake. Ambapo aliwaombea waasi msamaha na rehema kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu, Mwingi wa baraka ni Mwenye huruma zaidi kumliko kwa waja wake. Hamuadhibu isipokuwa mwenye kumuasi.