يوسف
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
فَلَمَّا دَخَلُوا۟ عَلَىٰ يُوسُفَ ءَاوَىٰٓ إِلَيْهِ أَبَوَيْهِ وَقَالَ ٱدْخُلُوا۟ مِصْرَ إِن شَآءَ ٱللَّهُ ءَامِنِينَ ٩٩
{99}. Yaani, “Na wakati” Yaaqub na wanawe na jamaa zao wote walipojiandaa na wakaondoka kutoka katika nchi yao wakielekea kumfikia Yusuf huko Misri na kuishi huko, na walipomfikia, na “walipoingia alimokuwa Yusuf, aliwakumbatia wazazi wake.” Yaani, aliwakumbatia na akawaweka hao wawili karibu sana naye, na akawaonyesha wema, ihsan, heshima, na utukufu mkubwa. “Na akasema” akiwaambia jamaa zake wote “Ingieni Misri, Inshallah kwa amani.” Kutokana na kila machukizo yote na hofu zote. Basi wakaingia katika hali hii ya kufurahisha, na machovu na shida za maisha yakawaisha, na wakafurahia na kujisikia vizuri.