انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · هود
السورة ١١

هود

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٤٤

وَقِيلَ يَـٰٓأَرْضُ ٱبْلَعِى مَآءَكِ وَيَـٰسَمَآءُ أَقْلِعِى وَغِيضَ ٱلْمَآءُ وَقُضِىَ ٱلْأَمْرُ وَٱسْتَوَتْ عَلَى ٱلْجُودِىِّ ۖ وَقِيلَ بُعْدًا لِّلْقَوْمِ ٱلظَّـٰلِمِينَ ٤٤

{44} Basi Mwenyezi Mungu alipowazamisha na akamuokoa Nuhu na wale waliokuwa pamoja naye, na "ikasemwa: Ewe ardhi! Meza maji yako" ambayo yalitoka kwako, na yale yaliyokuteremkia, yameze maji yaliyo juu ya uso wako. "Na Ewe mbingu! Jizuie" basi ardhi ikameza maji yake, na mbingu ikajizuia, na maji yakakauka katika ardhi. "Amri hiyo ikapitishwa" kwa kuwaangamiza wale waliokadhibisha na kuwaokoa Waumini "na (jahazi) likasimama juu ya (mlima) wa Al Juudiy." Yaani, ilitia nanga juu ya ule mlima huo mashuhuri katika ardhi ya Mosil (huko Iraq). "Na ikasemwa: Wapotelee mbali kaumu madhalimu!" Yaani, walifuatishwa laana pamoja na maangamizo yao na kuwekwa mbali ambayo hayaachi kuwaandama.