انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · التكاثر
السورة ١٠٢

التكاثر

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٨

ثُمَّ لَتُسْـَٔلُنَّ يَوْمَئِذٍ عَنِ ٱلنَّعِيمِ ٨

{8} "Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema" mlizokuwa mkijistarehesha kwazo katika maskani ya dunia. Je, mlizishukuru, na mkatimiza haki ya Mwenyezi Mungu ndani yake, na hamkuzitumia katka kumuasi, basi akupeni neema iliyo juu kuliko hiyo na iliyo bora zaidi? Au je, mlidanganywa nazo na hamkumshukuru? Bali labda mlizitumia katika kumuasi, ndiyo akuadhibuni kwa hayo? Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: "Na siku watakapoletwa wale waliokufuru kwenye Moto wataambiwa: Nyinyi mlitwaa vitu vyenu vizuri katika uhai wa duniani, na mkastareheka navyo. Basi leo ndiyo mnalipwa adhabu ya fedheha..." hadi mwisho wa Aya.